Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 52. Je! ni sababu gani za kuamrisha amri ya pili?

J. Sababu za kuamrisha amri ya pili, ni: enzi kuu ya Mungu juu yetu, umiliki wake juu yetu, na wivu wake kwa ajili ya ibada yake mwenyewe.
  • Zaburi 95:2,3,6,7.
  • Zaburi 96:9-10.
  • Kutoka 19:5.
  • Zaburi 45:11.
  • Isaya 54:5.
  • Kutoka 34:14.
  • 1 Wakorintho 10:22.