Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 72. Imani inayohesabia haki ni ipi?
J. Imani inayohesabia haki ni neema iokoayo, itendayo kazi moyoni mwa mwenye dhambi na Roho na neno la Mungu, ambayo kwa hiyo mwenye dhambi akiwa ameshawishika juu ya dhambi yake na taabu yake, juu ya kutokuwa na uwezo ndani yake mwenyewe na katika viumbe vingine kujikomboa kutoka hali yake ya upotevu, si tu anakubali ukweli wa ahadi ya injili, bali pia anampokea Kristo na kupumzika kwake na kwa haki yake iliyotolewa kwake kwa ajili ya msamaha wa dhambi, na kwa ajili ya kukubalika na kukadiriwa nafsi yake kuwa ya haki mbele za Mungu kwa wokovu.
- Waebrania 10:39.
- 2 Wakorintho 4:13.
- Waefeso 1:17-19.
- Warumi 10:14,17.
- Matendo 2:37.
- Matendo 4:12.
- Matendo 16:30.
- Yohana 16:8,9.
- Warumi 5:6.
- Waefeso 2:1.
- Waefeso 1:13.
- Yohana 1:12.
- Matendo 10:43.
- Matendo 16:31.
- Wafilipi 3:9.
- Matendo 15:11.