Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 84. Je! wanadamu wote watakufa?

J. Kwa kuwa mwanadamu alitishiwa kifo kama malipo ya dhambi, imewekwa kwamba wanadamu wote wakufe mara moja, kwa kuwa wote wamefanya dhambi.
  • Warumi 6:23.
  • Waebrania 9:27.
  • Warumi 5:12.