Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 18. Kazi za majaliwa ya Mungu ni zipi?
J. Kazi za majaliwa ya Mungu ni uhifadhi wake mtakatifu kabisa, wenye hekima na uweza, na utawala juu ya viumbe vyake vyote na matendo yao yote, kwa ajili ya utukufu wake mwenyewe.
- Zaburi 145:17.
- Zaburi 104:24.
- Isaya 28:29.
- Waebrania 1:8.
- Zaburi 103:19.
- Mathayo 10:29-31.
- Mwanzo 45:7.
- Warumi 11:36.
- Isaya 43:14.