Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 50. Kristo alijinyenyekeshaje baada ya kifo?
J. Kujinyenyekesha kwa Kristo baada ya kifo kulijumuisha kuzikwa kwake, kuendelea katika hali ya kifo na chini ya uweza wake mpaka siku ya tatu, ambayo wakati mwingine imeelezwa kwa maneno haya: Alishuka kuzimu.
- 1 Wakorintho 15:3,4.
- Zaburi 16:10.
- Matendo 2:24-27,31.
- Warumi 6:9.
- Mathayo 12:40.