Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 57. Kristo amepata faida gani kwa maombezi yake?

J. Kristo amepata kwa maombezi yake, ukombozi, na faida zote za agano la neema.
  • Waebrania 9:12.
  • 2 Wakorintho 1:20.