Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 6. Maandiko yanafundisha nini kumhusu Mungu?

J. Maandiko yanafundisha Mungu ni nini, n) nafsi zilizomo katika Uungu, ñ) amri zake o) na utekelezaji wake. p)
  • Waebrania 11:6.
  • 1 Yohana 5:7.
  • Matendo 15:14-15,18.
  • Matendo 4:27-28.