Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 76. Toba kwa ajili ya uzima ni nini?

J. Toba kwa ajili ya uzima ni neema iokoayo, itendayo kazi moyoni mwa mwenye dhambi na Roho na neno la Mungu, ambayo kwa hiyo huzaliwa ndani yake namna ya kuona, na hisia si tu ya hatari, bali pia ya uchafu na chuki ya dhambi zake, na juu ya mtambuo wa rehema ya Mungu katika Kristo kwa wale wanaoomboleza, wana huzuni kwa dhambi zao, wanazichukia na kugeuka kutoka kwao zote kwa Mungu, wakijipanga na kujitahidi mara kwa mara kutembea na Bwana katika njia zote za utii mpya.
  • 2 Timotheo 2:25.
  • Zekaria 12:10.
  • Matendo 11:18,20,21.
  • Ezekieli 18:28,30,32.
  • Luka 15:17,18.
  • Hosea 2:6-7.
  • Ezekieli 36:31.
  • Isaya 30:22.
  • Yoeli 2:12,13.
  • Yeremia 31:18,19.
  • 2 Wakorintho 7:11.
  • Matendo 26:18.
  • Ezekieli 14:6.
  • 1 Wafalme 8:47,48.
  • Zaburi 119:6,59,128.
  • Luka 1:6.
  • 2 Wafalme 23:25.