Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo
Sw. 112. Amri ya tatu inadai nini?
J. Amri ya tatu inadai kwamba jina la Mungu, vyeo vyake, sifa zake, maagizo yake, neno lake, sakramenti, sala, viapo, nadhiri, kura, kazi zake, na jambo lingine lolote ambalo kwa hilo anajifunua, litumike kwa utakatifu na kwa staha katika mawazo, kutafakari, katika neno na kwa maandishi; kwa kukiri takatifu, mazungumzo yasiyo na lawama, kwa utukufu wa Mungu, na kwa manufaa yetu na ya wengine.
- Mathayo 6:9.
- Kumbukumbu la Torati 28:58.
- Zaburi 29:2.
- Zaburi 68:4.
- Ufunuo 15:3,4.
- Malaki 1:14.
- Mhubiri 5:1.
- Zaburi 138:2.
- 1 Wakorintho 11:24,25,28,29.
- 1 Timotheo 2:8.
- Yeremia 4:2.
- Mhubiri 5:2,4-6.
- Matendo 1:24,26.
- Ayubu 36:24.
- Malaki 3:16.
- Zaburi 8:1,3,4,9.
- Wakolosai 3:17.
- Zaburi 105:2,5.
- Zaburi 102:18.
- 1 Petro 3:15.
- Mika 4:5.
- Wafilipi 1:27.
- 1 Wakorintho 10:31.
- Yeremia 32:39.
- 1 Petro 2:12.