Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 100. Je! ni mambo gani maalum ambayo tunapaswa kuzingatia katika amri kumi?

J. Katika amri kumi tunapaswa kuzingatia utangulizi, kiini cha amri zenyewe na sababu mbalimbali zilizoambatishwa kwa baadhi yake kwa nguvu zaidi.