Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 94. Je! sheria ya maadili ina manufaa yoyote baada ya anguko?

J. Ingawa hakuna mwanadamu baada ya anguko anayeweza kupata haki na uzima kwa sheria ya maadili, hata hivyo, ina manufaa makubwa, kwa wanadamu wote kwa ujumla, na hasa, kwa waliokombolewa na kwa wasio.
  • Warumi 8:3.
  • Wagalatia 2:16.
  • 1 Timotheo 1:8.