Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 102. Muhtasari wa amri nne zinazozingatia majukumu yetu kwa Mungu ni upi?

J. Muhtasari wa amri nne zinazozingatia majukumu yetu kwa Mungu ni kumpenda Bwana Mungu wetu kwa moyo wetu wote, kwa nafsi zetu zote, kwa nguvu zetu zote na kwa akili zetu zote.
  • Luka 10:27.