Inapakia

Njia za Neema na Ibada

Sw. 164. Kristo alianzisha sakramenti ngapi katika Kanisa lake chini ya Agano Jipya?

J. Chini ya Agano Jipya Kristo alianzisha katika kanisa lake sakramenti mbili tu, Ubatizo na Meza ya Bwana.
  • Mathayo 26:26-28.
  • Mathayo 28:19.
  • 1 Wakorintho 11:20,23.