Inapakia

Njia za Neema na Ibada

Sw. 178. Sala ni nini?

J. Sala ni kutoa matakwa yetu kwa Mungu, kwa jina la Kristo, na kwa msaada wa Roho wake; kukiri dhambi zetu na kutambua kwa shukrani faida zake.
  • Zaburi 62:8.
  • Yohana 16:23.
  • Warumi 8:26.
  • Zaburi 32:5,6.
  • Danieli 9:4.
  • Wafilipi 4:6.