Inapakia

Njia za Neema na Ibada

Sw. 185. Tunapaswa kuombaje?

J. Tunapaswa kuomba kwa mtambuo wa hofu ya ukuu wa Mungu, na kwa hisia ya kina ya kutostahili kwetu, mahitaji na dhambi zetu; kwa majuto, shukrani na nyoyo zilizopanuka; kwa ufahamu, imani, ukweli, bidii, upendo na uvumilivu, tukimtumainia yeye; kwa kujitiisha kwa unyenyekevu kwa mapenzi yake.
  • Mhubiri 5:1.
  • Mwanzo 18:27.
  • Mwanzo 32:10.
  • Luka 15:17-19.
  • Luka 18:13,14.
  • Zaburi 51:17.
  • Wafilipi 4:6.
  • 1 Samweli 1:15.
  • 1 Samweli 2:1.
  • 1 Wakorintho 14:15.
  • Marko 11:24.
  • Yakobo 1:6.
  • Zaburi 17:1.
  • Zaburi 145:18.
  • Yakobo 5:16.
  • 1 Timotheo 2:8.
  • Waefeso 6:18.
  • Mika 7:7.
  • Mathayo 26:39.