Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 12. Amri za Mungu ni zipi?

J. Amri za Mungu ni matendo matakatifu, yenye hekima na huru ya shauri la mapenzi yake mwenyewe, p) ambayo kwa hayo tangu milele na kwa ajili ya utukufu wake mwenyewe ameamuru kwa namna isiyobadilika yote yanayotokea kwa wakati, q) hasa yale yanayohusu malaika na wanadamu.
  • Waefeso 1:11.
  • Warumi 9:14,15,18.
  • Warumi 11:33.
  • Waefeso 1:4,11.
  • Warumi 9:22-23.
  • Zaburi 33:11.