Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 11. Tunajuaje kwamba Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu, sawa na Baba?

J. Maandiko yanaonyesha kwamba Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu, sawa na Baba, kwa kuwapa majina, sifa, kazi na ibada ambazo ni za Mungu pekee.
  • Isaya 6:3,5,8.
  • Yohana 12:41.
  • Matendo 5:3,4.
  • Matendo 28:25.
  • 1 Yohana 5:20.
  • Yohana 1:1.
  • Yohana 2:24-25.
  • Isaya 9:6.
  • 1 Wakorintho 2:10,11.
  • Wakolosai 1:16.
  • Mwanzo 1:2.
  • Mathayo 28:19.
  • 2 Wakorintho 13:14.