Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 10. Je! ni sifa gani za kibinafsi za Nafsi tatu za Uungu?

J. Ni sifa ya Baba kumzaa Mwana, j) na ya Mwana kuzaliwa kutoka kwa Baba, l) na ya Roho Mtakatifu kutoka kwa Baba na Mwana tangu milele. ll)
  • Waebrania 1:5,6,8.
  • Yohana 1:14,18.
  • Yohana 15:26.
  • Wagalatia 4:6.