Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 9. Je! Mungu ana nafsi ngapi?

J. Kuna Nafsi tatu katika Uungu, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; hawa watatu ni Mungu mmoja wa milele na wa kweli, sawa katika kiini, sawa katika nguvu na utukufu, ingawa wanatofautishwa na sifa za kibinafsi. i)
  • 1 Yohana 5:7.
  • Mathayo 3:16-17.
  • Mathayo 28:19.
  • 2 Wakorintho 13:14.
  • Yohana 10:30.