Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 23. Anguko lilimleta mwanadamu katika hali gani?

J. Anguko lilimletea mwanadamu hali ya dhambi na taabu.
  • Warumi 3:23.
  • Warumi 5:12.