Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 25. Je! hali ya dhambi ya mwanadamu iliyoanguka inajumuisha nini?
J. Hali ya dhambi ya mwanadamu iliyoanguka inajumuisha hatia ya dhambi ya kwanza ya Adamu, ukosefu wa haki ya asili, upotovu wa asili yake yote, ambao kwa huo hawezi kabisa, amelemazwa, na kufanywa kinyume na wema wote wa kiroho, na mwelekeo kamili kwa uovu wote, na hilo daima; ambao kwa kawaida huitwa dhambi ya asili, ambayo ndiyo chanzo cha makosa yetu yote halisi.
- Warumi 5:12,19.
- Warumi 3:10-19.
- Warumi 5:6.
- Warumi 8:7,8.
- Waefeso 2:1-3.
- Mwanzo 6:5.
- Yakobo 1:14-15.
- Mathayo 15:19.