Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 26. Je! dhambi ya asili imepitishwaje kutoka kwa babu zetu wa kwanza kwa wazao wao?
J. Dhambi ya asili imepitishwa kutoka kwa babu zetu wa kwanza kwa wazao wao kwa njia ya uzazi wa asili, kwa maana wote wanaotokana nao kwa njia hiyo wanachukuliwa na kuzaliwa katika dhambi.
- Zaburi 51:5.
- Ayubu 14:4.
- Ayubu 15:14.
- Yohana 3:6.