Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 27. Je! hali ya taabu ya mwanadamu iliyoanguka inajumuisha nini?
J. Anguko lilifanya wanadamu wapoteze ushirika na Mungu, na kuwa chini ya hasira yake na laana yake; hivyo sisi kwa asili ni watoto wa hasira, watumwa wa Shetani, na tunastahili adhabu yote katika maisha haya na yajayo.
- Mwanzo 3:8,10,24.
- Waefeso 2:2,3.
- 2 Timotheo 2:26.
- Mwanzo 2:17.
- Maombolezo 3:39.
- Warumi 6:23.
- Mathayo 25:41,46.
- Yuda 1:7.