Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 65. Je! ni faida gani maalum wanazozifurahia kwa Kristo wanachama wa kanisa lisiloonekana?

J. Wanachama wa kanisa lisiloonekana wanafurahia kwa Kristo muungano na ushirika naye katika neema na utukufu.
  • Yohana 17:21,24.
  • Waefeso 2:5,6.