Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 64. Kanisa lisiloonekana ni nini?

J. Kanisa lisiloonekana ni idadi yote ya wateule ambao wamekuwa, wapo na watakuwa wamekusanyika pamoja chini ya Kristo kichwa.
  • Waefeso 1:20,22,23.
  • Yohana 10:16.
  • Yohana 11:52.