Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 45. Kristo anatekelezaje wadhifa wa mfalme?

J. Kristo anatekeleza wadhifa wa mfalme kwa kujitolea watu kutoka ulimwenguni kwa ajili yake mwenyewe, q) kwa kuwapa maofisa, r) sheria, s) makemeo, ambavyo yeye anatawala kwa namna inayoonekana; t) kwa kutoa neema yake iokoayo kwa wateule wake, u) kutuza utii wao, v) na kuwaadhibu kwa dhambi zao kwa ajili ya kurekebishwa kwao, x) kuwahifadhi na kuwategemeza katika majaribu na mateso yote, y) kuwazuia na kuwashinda maadui wao wote, z) na kuamuru kwa nguvu mambo yote kwa utukufu wake mwenyewe na kwa wema wao, na pia kulipiza kisasi kwa wengine, wasiomjua Mungu wala kuitii injili.
  • Matendo 15:14-16.
  • Isaya 4:4,5.
  • Mwanzo 49:10.
  • Zaburi 110:3.
  • Waefeso 4:11,12.
  • 1 Wakorintho 12:28.
  • Isaya 33:22.
  • Mathayo 18:17,18.
  • 1 Wakorintho 5:4,5.
  • Matendo 5:31.
  • Ufunuo 2:10.
  • Ufunuo 22:12.
  • Ufunuo 3:19.
  • Isaya 63:9.
  • 1 Wakorintho 15:25.
  • Zaburi 110:1,2.
  • Warumi 14:10,11.
  • Warumi 8:28.
  • 2 Wathesalonike 1:8-9.
  • Zaburi 2:8,9.