Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 44. Kristo anatekelezaje wadhifa wa kuhani?

J. Kristo anatekeleza wadhifa wa kuhani, kwa kujitoa mwenyewe mara moja kuwa dhabihu isiyo na doa kwa Mungu, ili awe upatanisho kwa dhambi za watu wake; na kwa kuwaombea daima.
  • Waebrania 9:14,28.
  • Waebrania 2:17.
  • Waebrania 7:25.