Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 43. Kristo anatekelezaje wadhifa wa nabii?
J. Kristo hutekeleza wadhifa wa nabii, kwa kulifunulia Kanisa katika nyakati zote, kwa Roho wake na Neno lake, kwa njia mbalimbali za usimamizi, mapenzi yote ya Mungu, katika mambo yote yanayohusu ujenzi na wokovu wao.
- Yohana 1:18.
- 1 Petro 1:10-12.
- Waebrania 1:1,2.
- Yohana 15:15.
- Matendo 20:32.
- Waefeso 4:11-13.
- Yohana 20:31.