Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 42. Kwa nini Mpatanishi wetu aliitwa Kristo?
J. Mpatanishi wetu aliitwa Kristo kwa sababu alipakwa mafuta kupita kiasi na Roho Mtakatifu, e) na hivyo alitengwa na kuvikwa kikamilifu mamlaka yote na uwezo, f) ili atekeleze wadhifa wa nabii, g) kuhani, h) na mfalme wa kanisa lake, katika hali ya kujinyenyekesha na katika hali ya kutukuzwa.
- Yohana 3:34.
- Zaburi 45:7.
- Yohana 6:27.
- Mathayo 28:18-20.
- Matendo 3:21,22.
- Luka 4:18,21.
- Waebrania 4:14,15.
- Waebrania 5:5-7.
- Zaburi 2:6.
- Mathayo 21:5.
- Isaya 9:6,7.
- Wafilipi 2:8-11.
- Wafilipi 2:8-11.