Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 41. Kwa nini Mpatanishi wetu aliitwa Yesu?

J. Mpatanishi wetu aliitwa Yesu, kwa sababu huwaokoa watu wake na dhambi zao.
  • Mathayo 1:21.