Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 78. Kutokamilika kwa utakaso kwa waamini kunatokana na nini?

J. Kutokamilika kwa utakaso kwa waamini kunatokana na mabaki ya dhambi yaliyosalia katika kila sehemu yao, na pambano la daima la mwili dhidi ya Roho, kwa hiyo wanasumbuliwa mara kwa mara na majaribu na kuanguka katika dhambi nyingi, wanazuiwa katika huduma zao zote za kiroho, na matendo yao bora hayakamiliki au ni machafu mbele za Mungu.
  • Warumi 7:18,23.
  • Marko 14:66-72.
  • Wagalatia 2:11,12.
  • Waebrania 12:1.
  • Isaya 64:6.
  • Kutoka 28:38.