Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 16. Mungu aliwaumbaje malaika?
J. Mungu aliumba malaika wote kuwa roho, wasiokufa, watakatifu, wenye ujuzi bora, wenye nguvu kubwa, kwa ajili ya kutekeleza amri zake na kulisifu jina lake, ingawa wako chini ya uwezekano wa kubadilika.
- Wakolosai 1:16.
- Zaburi 104:4.
- Mathayo 22:30.
- Mathayo 25:31.
- 2 Samweli 14:17.
- Mathayo 24:36.
- 2 Wathesalonike 1:7.
- Zaburi 103:20,21.
- 2 Petro 2:4.