Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 15. Kazi ya uumbaji ni ipi?

J. Kazi ya uumbaji ni ile ambayo kwayo Mungu, mwanzoni, kwa neno la uweza wake, aliumba kutoka katika kutokuwepo ulimwengu na vitu vyote vilivyomo, kwa ajili yake mwenyewe, ndani ya muda wa siku sita, na vyote vikawa vyema sana.
  • Mwanzo 1.
  • Waebrania 11:3.
  • Mithali 16:4.