Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 14. Mungu anayatekelezaje maazimio yake?

J. Mungu hutekeleza maazimio yake katika kazi za uumbaji na maongozi, kwa mujibu wa ujuzi wake usio na kosa wa mambo yajayo, na shauri huru na lisilobadilika la mapenzi yake mwenyewe.
  • Waefeso 1:11.