Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 4. Tunajuaje kwamba Maandiko ni neno la Mungu?

J. Maandiko yanajidhihirisha wenyewe kuwa ni neno la Mungu kwa ukuu wake g) na usafi wake, h) kwa makubaliano ya sehemu zake zote, i) na kwa kusudi lake katika yote, ambalo ni kumpa Mungu utukufu wote; j) kwa nuru yake na nguvu zake za kuwashawishi na kuwageuza wenye dhambi, kuwafariji na kuwajenga waamini kwa wokovu; l) lakini Roho wa Mungu akitoa ushuhuda pamoja na Maandiko na kwa njia yao moyoni mwa mwanadamu, ndiye anayeweza kutusadikisha kabisa kwamba ni neno la kweli la Mungu. ll)
  • Hosea 8:12.
  • 1 Wakorintho 2:6-7,13.
  • Zaburi 119:18,129.
  • Zaburi 12:6.
  • Zaburi 119:140.
  • Matendo 10:43.
  • Matendo 26:22.
  • Warumi 3:19,27.
  • Matendo 23:28.
  • Waebrania 4:12.
  • Yakobo 1:18.
  • Zaburi 19:7-9.
  • Warumi 15:4.
  • Matendo 20:32.
  • Yohana 16:13-14.
  • Yohana 20:31.
  • 1 Yohana 2:20, 27.