Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 3. Neno la Mungu ni nini?

J. Maandiko Matakatifu ya Agano la Kale na Jipya ndio neno la Mungu, e) ndio kanuni pekee ya imani na utii.
  • 2 Timotheo 3:16.
  • 2 Petro 1:19-21.
  • Waefeso 2:20.
  • Ufunuo 22:18-19.
  • Isaya 8:20.
  • Luka 16:29,31.
  • Wagalatia 1:8-9.
  • 2 Timotheo 3:15-16.