Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 2. Tunajuaje kwamba Mungu yupo?
J. Nuru ya asili ndani ya mwanadamu na kazi za Mungu zinadhihirisha kabisa kwamba yeye yupo, c) lakini neno lake na Roho wake ndio pekee yanayomfunulia mwanadamu kwa kutosha na kwa ufanisi kwa ajili ya wokovu wao. d)
- Warumi 1:19-20.
- Zaburi 19:1-3.
- Matendo 17:28.
- 1 Wakorintho 2:9-10.
- 2 Timotheo 3:15-17.
- Isaya 59:21.