Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 123. Amri ya tano ni ipi?

J. Amri ya tano ni: "Waheshimu baba yako na mama yako, ili siku zako ziwe nyingi katika nchi ambayo Bwana, Mungu wako, anakupa."
  • Kutoka 20:12.