Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 122. Muhtasari wa amri sita zinazozingatia majukumu yetu kwa wanadamu ni upi?

J. Muhtasari wa amri sita zinazozingatia majukumu yetu kwa wanadamu, ni kumpenda jirani yetu kama sisi wenyewe, na kuwatendea wengine kama tunavyotaka wao watutendee.
  • Mathayo 22:39.
  • Mathayo 7:12.