Inapakia

Njia za Neema na Ibada

Sw. 150. Je! makosa yote ya sheria yanauchafu sawa mbele za Mungu?

J. Makosa yote ya sheria ya Mungu si ya kuchukiza sawa, lakini baadhi ya dhambi kwa yenyewe, na kwa sababu ya mazingira mbalimbali yanayozidisha, ni ya kuchukiza zaidi kuliko mengine mbele za Mungu.
  • Yohana 19:11.
  • Ezekieli 8:6,13,15.
  • 1 Yohana 5:16.
  • Zaburi 78:17,32,56.