Sw. 149. Je! mtu yeyote anaweza kuzishika kamili amri za Mungu?
J. Hakuna mwanadamu anayeweza, wala kwa yeye mwenyewe, wala kwa neema yoyote aliyopokea katika maisha haya, kuzishika kamili amri za Mungu, bali kila siku huzivunja kwa mawazo, maneno na matendo.
- Yakobo 3:2.
- Yohana 15:5.
- Warumi 8:3.
- Mhubiri 7:20.
- 1 Yohana 1:8,10.
- Wagalatia 5:17.
- Warumi 7:18,19.
- Mwanzo 6:5.
- Mwanzo 8:21.
- Warumi 3:9-19.
- Yakobo 3:2-13.