Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 5. Je! kuna Miungu zaidi ya mmoja?

J. Kuna Mungu mmoja tu, aliye hai na wa kweli.
  • Kumbukumbu la Torati 6:4.
  • Isaya 44:6.
  • Isaya 45:21,22.
  • 1 Wakorintho 8:4-6.
  • Yeremia 10:10.
  • Yohana 17:3.
  • 1 Wathesalonike 1:9.
  • 1 Yohana 5:20.