Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 32. Je! ni faida gani wanazopata katika maisha haya wale walioitwa kwa ufanisi?
J. Wale walioitwa kwa ufanisi hushiriki katika maisha haya kuhesabiwa haki, kufanywa watoto, na kutakaswa, pamoja na baraka mbalimbali ambazo katika maisha haya huambatana nazo au kutokana nazo.
- Warumi 8:30.
- 1 Wakorintho 1:30.
- 1 Wakorintho 6:11.
- Waefeso 1:5.