Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 30. Je! Roho Mtakatifu anatuleteaje ukombozi ulionunuliwa na Kristo?
J. Roho Mtakatifu anatuletea ukombozi ulionunuliwa na Kristo, kwa kutenda imani ndani yetu, na hivyo kutuunganisha na Kristo katika wito wetu wenye ufanisi.
- Warumi 10:17.
- 1 Wakorintho 2:12-16.
- Waefeso 2:8.
- Wafilipi 1:29.
- Yohana 15:5.
- 1 Wakorintho 1:9.
- Waefeso 3:17.