Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 9. Kazi ya uumbaji ni nini?

J. Kazi ya uumbaji ni ile ambayo Mungu aliumba mbingu na dunia, na vitu vyote vilivyomo, kwa neno la uweza wake, kwa siku sita, kutoka katika utupu, na vyote vilikuwa vyema sana.
  • Mwanzo 1:1.
  • Zaburi 33:6,9.
  • Waebrania 11:3.
  • Mwanzo 1:31.