Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 2. Ni kanuni gani Mungu ametoa ili kutufundisha jinsi tunavyopaswa kumtukuza na kumfurahia?
J. Neno la Mungu lililomo katika Maandiko ya Agano la Kale na Jipya, ndiyo kanuni pekee ambayo Mungu ametoa ili kutufundisha jinsi tunavyopaswa kumtukuza na kumfurahia.
- Mathayo 19:4,5.
- Mwanzo 2:24.
- Luka 24:27,44.
- 1 Wakorintho 2:13.
- 1 Wakorintho 14:37.
- 2 Petro 1:20,21.
- 2 Petro 3:2,15,16.
- Kumbukumbu la Torati 4:2.
- Zaburi 19:7-11.
- Isaya 8:20.
- Yohana 15:11.
- Yohana 20:30,31.
- Matendo 17:11.
- 2 Timotheo 3:15-17.
- 1 Yohana 1:4.