Inapakia

Swali Amri ya kumi inaamuru nini? la Katekisimo Ndogo ya Westminster

Swali Amri ya kumi inaamuru nini? la Katekisimo Ndogo ya Westminster - jibu pamoja na marejeo ya Biblia
Sw. 80. Amri ya kumi inaamuru nini?
J. Amri ya kumi inaamuru turidhike na hali yetu wenyewe, na kwamba daima tuwe na tabia ya haki na ya upendo kwa jirani yetu na kwa vyote vyake.
  • Zaburi 34:1.
  • Wafilipi 4:11.
  • 1 Timotheo 6:6.
  • Waebrania 13:5.
  • Luka 15:6,9,11,32.
  • Warumi 12:15.
  • Wafilipi 2:4.

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Swali Amri ya kumi inaamuru nini? la Katekisimo Ndogo ya Westminster

Swali Amri ya kumi inaamuru nini? la Katekisimo Ndogo ya Westminster - jibu pamoja na marejeo ya Biblia
  1. Ni nini wajibu ambao Mungu anamwekea mwanadamu?
  2. Ni kanuni gani ya kwanza ambayo Mungu alifunua kwa mwanadamu kama mwongozo wa utii?
  3. Sheria ya maadili imo kwa muhtasari wapi?
  4. Muhtasari wa amri kumi ni upi?
  5. Utangulizi wa amri kumi ni upi?
  6. Utangulizi wa amri kumi unatufundisha nini?
  7. Amri ya kwanza ni ipi?
  8. Amri ya kwanza inaamuru nini?
  9. Amri ya kwanza inakataza nini?
  10. Je! maneno "mbele yangu" yaliomo katika amri ya kwanza yanatufundisha nini hasa?
  11. Amri ya pili ni ipi?
  12. Amri ya pili inaamuru nini?
  13. Amri ya pili inakataza nini?
  14. Je! ni sababu gani za kuamrisha amri ya pili?
  15. Amri ya tatu ni ipi?
  16. Amri ya tatu inadai nini?
  17. Amri ya tatu inakataza nini?
  18. Sababu ya kuamrisha amri ya tatu ni ipi?
  19. Amri ya nne ni ipi?
  20. Amri ya nne inaamuru nini?
  21. Ni siku gani kati ya saba ambayo Mungu ameagiza kwa ajili ya pumziko la kila juma?
  22. Siku ya kupumzika inapaswa kutakaswaje?
  23. Amri ya nne inakataza nini?
  24. Je! ni sababu gani za kuamrisha amri ya nne?
  25. Amri ya tano ni ipi?
  26. Amri ya tano inaamuru nini?
  27. Amri ya tano inakataza nini?
  28. Sababu ya kuamrisha amri ya tano ni ipi?
  29. Amri ya sita ni ipi?
  30. Amri ya sita inaamuru nini?
  31. Amri ya sita inakataza nini?
  32. Amri ya saba ni ipi?
  33. Amri ya saba inaamuru nini?
  34. Amri ya saba inakataza nini?
  35. Amri ya nane ni ipi?
  36. Amri ya nane inaamuru nini?
  37. Amri ya nane inakataza nini?
  38. Amri ya tisa ni ipi?
  39. Amri ya tisa inaamuru nini?
  40. Amri ya tisa inakataza nini?
  41. Amri ya kumi ni ipi?
  42. Amri ya kumi inaamuru nini?
  43. Amri ya kumi inakataza nini?