Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 51. Amri ya pili inakataza nini?

J. Amri ya pili inakataza kumwabudu Mungu kwa njia ya sanamu au kwa njia nyingine yoyote ambayo haijaidhinishwa na Neno lake.
  • Kumbukumbu la Torati 4:15-19.
  • Warumi 1:22-23.
  • Walawi 10:1-2.
  • Yeremia 19:4-5.
  • Wakolosai 2:18-23.