Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 71. Amri ya saba inaamuru nini?

J. Amri ya saba inaamuru tuhifadhi usafi wetu wenyewe na wa jirani yetu, katika moyo, neno na mwenendo.
  • 1 Wakorintho 7:2,3,5.
  • 1 Wathesalonike 4:3-5.