Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 78. Amri ya tisa inakataza nini?

J. Amri ya tisa inakataza yote yanayodhuru ukweli, au kuharibu jina letu jema au la jirani yetu.
  • Walawi 19:16.
  • Zaburi 15:3.
  • Mithali 6:16-19.
  • Luka 3:14.